WATETEZI TV
WATETEZI TV
  • Видео 3 110
  • Просмотров 4 858 706

Видео

NDUGU WAKATA KICHWA CHA KATIBU WA CCM WAKIMTUHUMU KWA HAYA YA KUSIKITISHA
Просмотров 11810 часов назад
NDUGU WAKATA KICHWA CHA KATIBU WA CCM WAKIMTUHUMU KWA HAYA YA KUSIKITISHA
MANENO YA RAIS SAMIA SIKU YA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA MBELE YA MWABUKUSI
Просмотров 2714 часов назад
MANENO YA RAIS SAMIA SIKU YA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA MBELE YA MWABUKUSI
MWANZO MWISHO HOTUBA YA JAJI MKUU WA TANZANIA MBELE YA RAIS SAMIA
Просмотров 3415 часов назад
MWANZO MWISHO HOTUBA YA JAJI MKUU WA TANZANIA MBELE YA RAIS SAMIA
MAZITO YAIBUKA, ALIYEJINYONGA TARIME WACHUNGAJI, FAMILIA ZAFUNGUKA MAZITO KUHUSU KIFO CHAKE
Просмотров 2215 часов назад
Na Hellen Magabe Siku chache baada ya mkazi wa Kogete Wilayani Tarime, Mkoani Mara, John Mahabe kudaiwa kujinyonga hadi kufa kwenye nyumba ya kijana wake Januari 30,2025 baada ya kuingia kulala baada ya kula chakula cha usiku, hatimaye mwili wake umezikwa Februari 2,2025 ambapo mengi yameibuliwa katika mazishi yake huku baadhi ya wachungaji wakitaja Ugonjwa wa akili kuwa ni chanzo cha kujiua kw...
SHUHUDIA CHECHE ZA MWABUKUSI MBELE YA RAIS SAMIA,MAADHIMISHO WIKI YA SHERIA
Просмотров 3316 часов назад
SHUHUDIA CHECHE ZA MWABUKUSI MBELE YA RAIS SAMIA,MAADHIMISHO WIKI YA SHERIA
MANENO MAZITO YA JAJI WARIOBA KUHUSU MIPAKA YA NCHI NA TISHIO LA UKABILA
Просмотров 6 тыс.2 часа назад
MANENO MAZITO YA JAJI WARIOBA KUHUSU MIPAKA YA NCHI NA TISHIO LA UKABILA
TUHUMA NZITO, AFISA ARDHI NA DIWANI WADAIWA KUMEGA ENEO LA KUJENGA SOKA NA KUJIMILIKISHA, WAFUNGUKA
Просмотров 384 часа назад
UJENZI wa soko kwa ajili ya mitaa ya Lumbila ya Isoko kata ya Iwambi Jijijini Mbeya umekwama kwa zaidi ya miaka kumi, kutokana na sehemu ya eneo hilo kumegwa na kumilikishwa kwa watu binafsi kwa ajili ya makazi huku diwani wa kata hiyo Humphrey Ngalawa na ofisi ya Mkurugenzi idara ya ardhi wakidaiwa kugawana na kujimilikisha viwanja hivyo. Lawama hizo za wananchi dhidi ya ofisi ya mkurugenzi wa...
SERIKALI KUTENGUA KITENDAWILI KIGUMU KWENYE ELIMU, GERSON MSIGWA AFUNGUKA HAYA
Просмотров 817 часов назад
SERIKALI KUTENGUA KITENDAWILI KIGUMU KWENYE ELIMU, GERSON MSIGWA AFUNGUKA HAYA
AJINYONGA AKIWA KWENYE NYUMBA YA MWANAYE, FAMILIA YAFUNGUKA MAZITO, MATUKIO YAKUJINYONGA YAWA GUMZO
Просмотров 1837 часов назад
Na Helena Magabe,Watetezi Tv Mwanaume mmoja aitwaye John Muhabe maarufu John Msabato jana asubuhi Januari 30,2025 alikutwa amejinyonga kwenye nyumba ya kijana wake hadi kufa inasemekana tukio hilo alilifanya usiku wa Januari 29,2025 nyumbani kwake mtaa wa Kogete kata ya Kenyamanyori wilayani Tarime. Mjumbe wa serikali ya Mtaa wa Kogete Frola Joel ambaye ni shuhuda wa tukio hilo amesema amefika ...
RC CHALAMILA AALIKWA IKULU, AZUNGUMZA HAYA MBELE YA RAIS SAMIA
Просмотров 10 тыс.9 часов назад
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, ameashiriki Hafla Ikulu Jijini Dar es salaam, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anashiriki Chakula cha Mchana na Walioshiriki zoezi la Ukoaji Kuporomoka kwa jengo la Ghorofa Kariakoo.
MPINA AWAVAA WANAOMSIFIA RAIS, ADAI KUNA SIRI ZAO, AELEZA MAZITO
Просмотров 25 тыс.9 часов назад
Mbunge wa Jimbo la Kisesa (CCM), Luhaga Mpina awavaa vikali wanaojifanya kumsifia Rais Samia, adai wanaofanya hivyo wengi wao ni wale wabadhilifu wa fedha za Umma na kujificha kwenye kichaka cha kumsifa Rais ili wasigundulike mapema.
KESI YA DR.SLAA YARUDISHWA TENA KISUTU KISA HIKI, MWENYEWE ARUDISHWA TENA RUMANDE,LISU AINGILIA KATI
Просмотров 1629 часов назад
KESI YA DR.SLAA YARUDISHWA TENA KISUTU KISA HIKI, MWENYEWE ARUDISHWA TENA RUMANDE,LISU AINGILIA KATI
THRDC YAISHAURI SERIKALI KUENDELEA KUWA MSULUHUSHI YA MIGOGORO NCHI JIRANI - DRC
Просмотров 6614 часов назад
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito kwa serikali kuwa msuluhishi wa mapigano nchini Congo na kuchukua hatua za dharura katika kuwaokoa raia wa Tanzania zaidi ya Arobaini waliokwama katika eneo la Goma ambako kumeripotiwa mapigano kati ya waasi wa M23 na majeshi ya serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Habari zaidi zinasema raia hao ni wale wanaofanya shu...
"MAJI YANA HARUFU YA CHOO KICHAFU", WADAI KUUGUA MATUMBO KISA MAJI KUCHANGANYIKA NA MAJI TAKA
Просмотров 36821 час назад
Wananchi wa kata ya Iwambi Jijini Mbeya wamedai kuugua ugonjwa wa tumbo na kuhara baada ya kutumia maji ambayo yanayodhaniwa kuchanganyika na kinyesi kutokana na hitilafu ya kiufundi katika viungo vya mabomba ya maji safi na maji taka. #majitaka#majimachafu
MBOWE AMTAJA OLENGURUMWA UCHAGUZI MKUU KWA HILI,AWASIHI WAJUMBE KUILINDA CHADEMA
Просмотров 105День назад
MBOWE AMTAJA OLENGURUMWA UCHAGUZI MKUU KWA HILI,AWASIHI WAJUMBE KUILINDA CHADEMA
KINACHOENDELEA MKUTANO MKUU CHADEMA MUDA HUU HIKI HAPA
Просмотров 795День назад
KINACHOENDELEA MKUTANO MKUU CHADEMA MUDA HUU HIKI HAPA
AFISA ARDHI ADAIWA KUJIMILIKISHA ENEO LA SHULE, MAZITO YAZUNGUMZWA, RC AINGILIA KATI
Просмотров 8214 дней назад
AFISA ARDHI ADAIWA KUJIMILIKISHA ENEO LA SHULE, MAZITO YAZUNGUMZWA, RC AINGILIA KATI
MAKALA MAALUMU: FAIDA ZA KUMPELEKA SHULE MTOTO MWENYE ULEMAVU
Просмотров 5014 дней назад
MAKALA MAALUMU: FAIDA ZA KUMPELEKA SHULE MTOTO MWENYE ULEMAVU
OLENGURUMWA AINGILIA KATI SAKATA LA ALIYEVUNJIWA NYUMBA,,AIOMBA THBUB KUCHUNGUZA
Просмотров 6014 дней назад
OLENGURUMWA AINGILIA KATI SAKATA LA ALIYEVUNJIWA NYUMBA,,AIOMBA THBUB KUCHUNGUZA
OLENGURUMWA AUNGANA NA WAKAZI TARAFA ZA LOLIONDO NA SALE,AMSIHI RAIS KUUNDA TUME JUMUISHI
Просмотров 700Месяц назад
OLENGURUMWA AUNGANA NA WAKAZI TARAFA ZA LOLIONDO NA SALE,AMSIHI RAIS KUUNDA TUME JUMUISHI
WANAWAKE WA TARAFA ZA SALE NA LOLIONDO WAMUOMBA RAIS SAMIA KUUNDA TUME JUMUISHI
Просмотров 1 тыс.Месяц назад
WANAWAKE WA TARAFA ZA SALE NA LOLIONDO WAMUOMBA RAIS SAMIA KUUNDA TUME JUMUISHI
BAADHI YA WAKAZI NGORONGORO,LOLIONDO WAOMBA TUME ZILIZOUNDWA ZIWE JUMUISHI KUPATA MAJIBU YA KWELI
Просмотров 820Месяц назад
BAADHI YA WAKAZI NGORONGORO,LOLIONDO WAOMBA TUME ZILIZOUNDWA ZIWE JUMUISHI KUPATA MAJIBU YA KWELI
THRDC YALAANI MAUAJI WATUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA BAADA YA KUKAMATWA,YATAKA UCHUNGUZI UFANYIKE
Просмотров 606Месяц назад
THRDC YALAANI MAUAJI WATUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA BAADA YA KUKAMATWA,YATAKA UCHUNGUZI UFANYIKE
UNDANI MAHAKAMA ILIVYOMNUSURU MFUGAJI ALIYETAIFISHWA MIFUGO WAKE KISARAEWE
Просмотров 106Месяц назад
UNDANI MAHAKAMA ILIVYOMNUSURU MFUGAJI ALIYETAIFISHWA MIFUGO WAKE KISARAEWE
LUSAKO AREJESHEWA VITU VYAKE, THRDC YAJIRIDHISHA POLISI WALIKUWA WAKIMTAFUTA MTUHUMIWA MWINGINE.....
Просмотров 313Месяц назад
LUSAKO AREJESHEWA VITU VYAKE, THRDC YAJIRIDHISHA POLISI WALIKUWA WAKIMTAFUTA MTUHUMIWA MWINGINE.....
MAKALA MAALUMU: UKUAJI,DOSARI NA MUELEKEO WA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA
Просмотров 100Месяц назад
MAKALA MAALUMU: UKUAJI,DOSARI NA MUELEKEO WA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA
"MATUKIO YA UTEKAJI MWAKA HUU YAMEFIKIA 47, KWA MUJIBU WA RIPOTI YETU" WAKILI OLENGURUMWA
Просмотров 109Месяц назад
"MATUKIO YA UTEKAJI MWAKA HUU YAMEFIKIA 47, KWA MUJIBU WA RIPOTI YETU" WAKILI OLENGURUMWA
HELLEN KIJO AELEZA USHIRIKIANO WA AZAKI NA VYOMBO VYA HABARI, UNAVYOENEZA HAKI ZA BINADAMU
Просмотров 61Месяц назад
HELLEN KIJO AELEZA USHIRIKIANO WA AZAKI NA VYOMBO VYA HABARI, UNAVYOENEZA HAKI ZA BINADAMU
WAZEE MLIOTUMIKIA TAIFA MSIJIFUNGIE NDANI,JITOKEZENI MTUPE MAARIFA
Просмотров 64Месяц назад
WAZEE MLIOTUMIKIA TAIFA MSIJIFUNGIE NDANI,JITOKEZENI MTUPE MAARIFA